Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 24:33-34

Mithali 24:33-34 SRUV

Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo, Bado kukunja mikono upate usingizi! Hivyo, umaskini wako huja kama mnyang'anyi, Na uhitaji wako kama mtu mwenye silaha.

Soma Mithali 24

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mithali 24:33-34