Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 5:18-19

Mithali 5:18-19 SRUV

Chemchemi yako ibarikiwe; Nawe umfurahie mke wa ujana wako. Ni ayala apendaye na paa apendezaye; Matiti yake yakutoshe sikuzote; Na kwa upendo wake ushangilie daima.

Soma Mithali 5