Zaburi 133
133
Baraka za kuwa na umoja
Wimbo wa kupanda mlima.
1 #
Mwa 13:8; 1 Kor 1:10 Tazama, jinsi ilivyo vyema, na kupendeza,
Ndugu kuishi pamoja, kwa umoja.
2 #
Kut 30:25
Ni kama mafuta mazuri kichwani,
Yashukayo ndevuni, ndevu za Haruni,
Yashukayo mpaka upindo wa mavazi yake.
3 #
Kum 4:48; 28:8; Law 25:11; Dan 12:2,3; Mt 25:34,46; Yn 4:14; 17:3; Ebr 7:25; 1 Yoh 5:20 Ni kama umande wa Hermoni ushukao milimani pa Sayuni.
Maana huko ndiko BWANA alikoamuru baraka,
Naam, uzima hata milele.
Iliyochaguliwa sasa
Zaburi 133: SRUV
Kuonyesha
Shirikisha
Nakili
Je, ungependa vivutio vyako vihifadhiwe kwenye vifaa vyako vyote? Jisajili au ingia
Swahili Revised Union Version Bible © Bible Society of Kenya, and Bible Society of Tanzania, 2005.