Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 92:12-13

Zaburi 92:12-13 SRUV

Mwenye haki atastawi kama mtende, Atakua kama mwerezi wa Lebanoni. Waliopandwa katika nyumba ya BWANA Watastawi katika nyua za Mungu wetu.

Soma Zaburi 92