Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 4:8

Ufunuo 4:8 SRUV

Na hawa wenye uhai wanne, kila mmoja alikuwa na mabawa sita; pande zote na ndani wamejaa macho, wala hawapumziki mchana wala usiku, wakisema, Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu, Bwana Mungu Mwenyezi, aliyekuwako na aliyeko na atakayekuja.

Soma Ufunuo 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 4:8