Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 7:3-4

Ufunuo 7:3-4 SRUV

akisema, Msiidhuru nchi, wala bahari, wala miti, hadi tutakapokwisha kuwatia mhuri watumishi wa Mungu wetu juu ya vipaji vya nyuso zao. Nikasikia hesabu yao waliotiwa mhuri katika kila kabila la Waisraeli, watu elfu mia moja na arubaini na nne.

Soma Ufunuo 7

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 7:3-4