Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 12:4-5

Warumi 12:4-5 SRUV

Kwa kuwa kama vile katika mwili mmoja tuna viungo vingi, wala viungo vyote havitendi kazi moja; Vivyo hivyo na sisi tulio wengi tu mwili mmoja katika Kristo, na viungo, kila mmoja kwa mwenzake.

Soma Warumi 12

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 12:4-5