Waroma 12:4-5
Waroma 12:4-5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa kuwa kama vile katika mwili mmoja tuna viungo vingi, wala viungo vyote havitendi kazi moja; Vivyo hivyo na sisi tulio wengi tu mwili mmoja katika Kristo, na viungo, kila mmoja kwa mwenzake.
Shirikisha
Soma Waroma 12Waroma 12:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwili una viungo vingi, kila kimoja na kazi yake. Hali kadhalika ingawa sisi ni wengi, tu mwili mmoja kwa kuungana na Kristo, na kila mmoja ni kiungo cha mwenzake.
Shirikisha
Soma Waroma 12