Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 49:22-23

Mwanzo 49:22-23 BHNTLK

“Yosefu ni kama mti uzaao, mti uzaao kando ya chemchemi, matawi yake hutanda ukutani. Wapiga mishale walimshambulia vikali, wakamtupia mishale na kumsumbua sana.

Soma Mwanzo 49