Matendo 5:38-39
Matendo 5:38-39 TKU
Na sasa ninawaambia, kaeni mbali na watu hawa. Waacheni. Ikiwa mpango wao ni kitu walichopanga wao wenyewe, utashindwa. Lakini ikiwa ni mpango wa Mungu, hamtaweza kuwazuia. Mnaweza kuwa mnapigana kinyume na Mungu mwenyewe!” Viongozi wa Kiyahudi wakakubaliana na kile alichosema Gamalieli.