Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 7:47-48

Luka 7:47-48 NENO

Kwa hiyo, nakuambia, dhambi zake zilizokuwa nyingi zimesamehewa, kwani ameonesha upendo mwingi. Lakini yule aliyesamehewa kidogo, hupenda kidogo.” Kisha akamwambia yule mwanamke, “Dhambi zako zimesamehewa.”