Kumbukumbu la Sheria 11:26-28
Kumbukumbu la Sheria 11:26-28 SCLDC10
“Angalieni, leo hii nawawekea mbele yenu baraka na laana: Baraka, kama mtatii amri za Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ambazo nawapeni hivi leo; na laana, kama hamtazitii amri za Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kuiacha njia ninayowaamuru, mkaabudu miungu mingine ambayo hata hamjawahi kuijua.