Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 28:12

Kumbukumbu la Sheria 28:12 SCLDC10

Mwenyezi-Mungu atawafungulieni hazina yake nzuri kutoka mbinguni na kunyesha mvua katika nchi kwa wakati wake, na kubariki kazi zenu. Mtayakopesha mataifa mengi, lakini nyinyi hamtakopa.