Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 32:39

Kumbukumbu la Sheria 32:39 SCLDC10

Oneni kuwa mimi ndimi Mungu na wala hakuna mwingine ila mimi. Mimi huua na kuweka hai; hujeruhi na kuponya, na hakuna awezaye kumwokoa yeyote mikononi mwangu.