Kumbukumbu la Sheria 32:39
Kumbukumbu la Sheria 32:39 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
“Tazama basi, Mimi mwenyewe, Mimi Ndiye! Hakuna mungu mwingine ila Mimi. Mimi ninaua na Mimi ninafufua, Mimi nimejeruhi na Mimi nitaponya, wala hakuna awezaye kuokoa kutoka mkononi mwangu.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 32Kumbukumbu la Sheria 32:39 Biblia Habari Njema (BHN)
Oneni kuwa mimi ndimi Mungu na wala hakuna mwingine ila mimi. Mimi huua na kuweka hai; hujeruhi na kuponya, na hakuna awezaye kumwokoa yeyote mikononi mwangu.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 32