Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 32:39

Kumbukumbu la Sheria 32:39 BHN

Oneni kuwa mimi ndimi Mungu na wala hakuna mwingine ila mimi. Mimi huua na kuweka hai; hujeruhi na kuponya, na hakuna awezaye kumwokoa yeyote mikononi mwangu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kumbukumbu la Sheria 32:39