Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 32:4

Kumbukumbu la Sheria 32:4 SCLDC10

“Mwenyezi-Mungu ni Mwamba wa usalama; kazi zake ni kamilifu, njia zake zote ni za haki. Yeye ni Mungu mwaminifu asiye na kosa, yeye hufanya mambo ya uadilifu na ya haki.