Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 34:9

Kumbukumbu la Sheria 34:9 SCLDC10

Yoshua mwana wa Nuni alijaa roho ya hekima, kwa kuwa Mose alikuwa amemwekea mikono yake. Hivyo Waisraeli walimtii Yoshua na kufuata amri ambazo Mwenyezi-Mungu alimpa Mose.