Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 5:33

Kumbukumbu la Sheria 5:33 SCLDC10

Mtafuata njia yote Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliyowaamuru kufuata ili mambo yenu yawaendee vyema na mpate kuishi muda mrefu katika nchi mtakayotwaa iwe mali yenu.