Kumbukumbu la Sheria 5:33
Kumbukumbu la Sheria 5:33 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtafuata njia yote Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliyowaamuru kufuata ili mambo yenu yawaendee vyema na mpate kuishi muda mrefu katika nchi mtakayotwaa iwe mali yenu.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 5Kumbukumbu la Sheria 5:33 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Endeni njia yote aliyowaagiza BWANA, Mungu wenu, mpate kuwa hai, na kufanikiwa, mkafanye siku zenu kuwa nyingi katika nchi mtakayoimiliki.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 5