Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 6:15

Kumbukumbu la Sheria 6:15 SCLDC10

hasira ya Mwenyezi-Mungu isije ikawaka juu yenu, naye akawafutilia mbali kutoka duniani, maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu aliye kati yenu, ni Mungu mwenye wivu.