Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 10:34-35

Matendo 10:34-35 SWZZB1921

Petro akafumhua kiuywa chake, akasema, Hakika nimekwisha kutambua ya kuwa Mungu hana upendeleo; bali katika killa taifa mtu amchae na kutenda haki hukuhaliwa nae.

Soma Matendo 10