Matendo 9:17-18
Matendo 9:17-18 SWZZB1921
Anania akaenda zake, akaingia mle nyumbani; akamwekea mikono akisema, Ndugu Saul, Bwana amenipeleka, Yesu, yeye aliyekutokea katika njia uliyoijia, upate kuona tena, ukajazwe Roho Mtakatifu. Marra yakaanguka machoni pake kama magamba, akapata kuona akasimama, akabatizwa