Yohana MT. 11:43-44
Yohana MT. 11:43-44 SWZZB1921
Akiisha kusema haya, akalia kwa sauti kuu, Lazaro, toka, njoo huku. Akatoka nje yule aliyekufa, amefungwa saanda miguuni na mikononi, na uso wake umefungwa kitambaa. Yesu akawaambia, Mfungueni, kamwacheni aende zake.