Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana MT. 12:24

Yohana MT. 12:24 SWZZB1921

Amin, amin, nawaambieni, Punje ya nganu isipoanguka katika inchi ikafa, hukaa katika hali ya peke yake; bali ikifa, hutoa mazao mengi.