Yohana MT. 20:27-28
Yohana MT. 20:27-28 SWZZB1921
Akiisha akamwambia Tomaso, Lete hapa kidole chako, ukatazame mikono yangu; kalete mkono wako, uutie katika ubavu wangu; wala nsiwe asiyeamini, bali aaminiye. Tomaso akajibu, akamwambia, Bwana wangu, na Mungu wangu.