Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mattayo MT. 27:51-52

Mattayo MT. 27:51-52 SWZZB1921

Na tazama pazia la hekalu likapasuka vipande viwili toka juu hatta chini: inchi ikatetema; miamba ikapasuka; makaburi yakafunuka; ikafufuka miili mingi ya watakatifu waliolala