Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko MT. 12:29-31

Marko MT. 12:29-31 SWZZB1921

Yesu akamjibu, Katika amri zote ya kwanza ndiyo hii, Sikia, Israeli, Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja; nawe mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote, na kwa nguvu zako zote. Amri ya kwanza ndiyo hii. Na ya pili yafanana na bayo, ndiyo hii, Mpende jirani yako kama nafsi yako. Hapana nyingine iliyo kuu kuliko hizi.