2 Mose 13:21-22
2 Mose 13:21-22 SRB37
Naye Bwana akawaongoza akiwatangulia mchana kwa wingu jeusi lililokuwa kama nguzo, awaongoze njia, tena usiku kwa moto uliokuwa kama nguzo, uwamulikie, wapate kwenda mchana na usiku. Ile nguzo ya wingu haikuondoka mchana mbele yao hao watu, wala ile nguzo ya moto haikuondoka usiku mbele yao.