2 Mose 7:3-4
2 Mose 7:3-4 SRB37
Lakini mimi nitaushupaza moyo wake Farao, nipate kufanya vielekezo na vioja vyangu vingi katika nchi ya Misri. Farao asipowasikia ninyi, nitautokeza mkono wangu huko Misri; ndivyo, nitakavyowatoa vikosi vyangu walio ukoo wangu wa wana wa Isiraeli katika nchi ya Misri kwa mapatilizo makubwa.