1 Mose 35:11-12
1 Mose 35:11-12 SRB37
Kisha Mungu akamwambia: Mimi ni Mungu Mwenyezi; na uzae wana, upate kuwa wengi, taifa na kundi zima la mataifa litatoka kwako, nao wafalme watatoka kiunoni mwako. Nayo nchi hii, niliyompa Aburahamu na Isaka, nakupa wewe nawe, nao wa uzao wako wajao nyuma yako nitawapa nchi hii.