1 Mose 41:39-40
1 Mose 41:39-40 SRB37
Kisha Farao akamwambia: Kuwa kuwa Mungu amekujulisha haya yote, basi, hakuna mwenye akili na werevu wa kweli kama wewe. Sasa wewe utakuwa mkuu wa nyumba yangu, nao watu wangu wote sharti wayafanye, kinywa chako kitakayowaambia; mimi tu nitakupita ukuu kwa kukikalia kiti cha ufalme.