1 Mose 49:3-4
1 Mose 49:3-4 SRB37
Wewe Rubeni, u mwana wa kwanza, u nguvu yangu na uwezo wangu wa kwanza, ukuu wako hutukuzwa, ukuu wako ni wa nguvu. Lakini kwa kububujika kama maji hutapata ukuu wa kweli, kwani ulipokipanda kitanda cha baba yako, ndipo, ulipoyachafua malalo yangu kwa kuyapandia.