Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 11:25-26

Yohana 11:25-26 SRB37

Yesu akamwambia: Mimi ndio ufufuko na uzima; anitegemeaye atapata uzima, ajapokufa. Kila aliye mzima na kunitegemea hatakufa kale na kale. Unavitegemea hivi?

Soma Yohana 11