Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 19:39-40

Luka 19:39-40 SRB37

Hapo palikuwa na Mafariseo mle kundini mwa watu, wakamwambia: Mfunzi, wakaripie wanafunzi wako! Akajibu akisema: Nawaambiani: Hawa watakaponyamaza, mawe yatapiga makelele.

Soma Luka 19