Matendo 11:17-18
Matendo 11:17-18 NMM
Basi ikiwa Mungu aliwapa hawa watu kipawa kile kile alichotupa sisi tuliomwamini Bwana Isa Al-Masihi, mimi ni nani hata nifikirie kuwa ningeweza kumpinga Mwenyezi Mungu?” Waliposikia haya hawakuwa na la kupinga zaidi. Nao wakamwadhimisha Mungu wakisema, “Basi, Mwenyezi Mungu amewapa hata watu wa Mataifa toba iletayo uzima wa milele.”