Matendo 11:26
Matendo 11:26 NMM
naye alipompata akamleta Antiokia. Hivyo kwa mwaka mzima Barnaba na Sauli wakakutana na kundi la waumini na kufundisha idadi kubwa ya watu. Ni katika Antiokia wanafunzi waliitwa wafuasi wa Al-Masihi kwa mara ya kwanza.