Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 11:26

Matendo 11:26 BHN

Alipompata, alimleta Antiokia. Nao wote wawili walikaa na ile jumuiya ya kanisa kwa mwaka wote mzima wakifundisha kundi kubwa la watu. Huko Antiokia, ndiko kwa mara ya kwanza, wafuasi waliitwa Wakristo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 11:26