Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 6:3-4

Matendo 6:3-4 NMM

Kwa hiyo ndugu, chagueni watu saba miongoni mwenu, watu wenye sifa njema, waliojawa na Roho wa Mwenyezi Mungu na hekima, ambao tunaweza kuwakabidhi kazi hii, nasi tutatumia muda wetu kuomba na huduma ya neno.”