Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 9:4-5

Matendo 9:4-5 NMM

Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, “Sauli, Sauli, mbona unanitesa?” Sauli akajibu, “U nani wewe, Bwana?” Ile sauti ikajibu, “Mimi ni Isa unayemtesa.”