Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 28:13

Mwanzo 28:13 NMM

Juu yake alisimama BWANA, akasema, “Mimi ni BWANA, Mungu wa baba yako Ibrahimu na Mungu wa Isaka. Nchi ambayo umelala juu yake, nitakupa wewe na uzao wako.