Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 49:22-23

Mwanzo 49:22-23 NMM

“Yusufu ni mzabibu uzaao, mzabibu uzaao ulio kando ya chemchemi, ambao matawi yake hutanda ukutani. Kwa uchungu wapiga mshale walimshambulia, wakampiga mshale kwa ukatili.