Luka 19:5-6
Luka 19:5-6 NMM
Isa alipofika pale chini ya huo mkuyu, akatazama juu, akamwambia, “Zakayo, shuka upesi, kwa maana leo nitakuwa mgeni nyumbani kwako!” Hivyo Zakayo akashuka upesi, akamkaribisha Isa nyumbani kwake kwa furaha kubwa.