Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Petro 5:8-9

1 Petro 5:8-9 BHN

Muwe macho; kesheni! Maana adui yenu, Ibilisi, huzungukazunguka kama simba angurumaye akitafuta mawindo. Muwe imara katika imani na kumpinga, mkijua kwamba ndugu zenu pote duniani wanapatwa na mateso hayohayo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Petro 5:8-9