Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wafalme 23:25

2 Wafalme 23:25 BHN

Kabla ya Yosia au baada yake hakuna mfalme yeyote aliyekuwa kama yeye, ambaye alimtumikia Mwenyezi-Mungu kwa moyo wake wote, kwa nguvu zake zote na kwa roho yake yote kulingana na sheria ya Mose.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wafalme 23:25