Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wafalme 6:18

2 Wafalme 6:18 BHN

Waaramu waliposhambulia, Elisha alimwomba Mwenyezi-Mungu akisema, “Nakuomba uwafanye watu hawa wawe vipofu!” Mwenyezi-Mungu akasikiliza ombi lake na kuwafanya vipofu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wafalme 6:18