2 Wafalme 6:18
2 Wafalme 6:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na walipomteremkia Elisha akamwomba BWANA, akasema, Uwapige, nakusihi, watu hawa kwa upofu. Akawapiga kwa upofu sawasawa na neno la Elisha.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 62 Wafalme 6:18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na walipomtelemkia Elisha akamwomba BWANA, akasema, Uwapige, nakusihi, watu hawa kwa upofu. Akawapiga kwa upofu sawasawa na neno la Elisha.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 6