Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Samueli 3:1

2 Samueli 3:1 BHN

Kulikuwa na vita vya muda mrefu kati ya watu walioiunga mkono jamaa ya Shauli, na wale walioiunga mkono jamaa ya Daudi. Lakini Daudi alizidi kupata nguvu zaidi na zaidi, ambapo upande wa Shauli ulizidi kudhoofika zaidi na zaidi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Samueli 3:1