Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 11:17-18

Matendo 11:17-18 BHN

Basi, kama Mungu amewapa pia watu wa mataifa mengine kipawa kilekile alichotupa sisi tulipomwamini Bwana Yesu Kristo, je, mimi ni nani hata nijaribu kumpinga Mungu?” Waliposikia hayo, waliacha ubishi, wakamtukuza Mungu wakisema, “Mungu amewapa watu wa mataifa mengine nafasi ya kutubu wapate uhai!”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 11:17-18