Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wakolosai 2:13-14

Wakolosai 2:13-14 BHN

Wakati mmoja nanyi mlikuwa mmekufa kwa sababu ya makosa yenu na kwa sababu nyinyi mlikuwa watu wa mataifa mengine. Lakini Mungu amewapa nyinyi uhai pamoja na Kristo. Mungu ametusamehe dhambi zetu zote; alifutilia mbali ile hati ya deni iliyokuwa inatukabili na masharti yake, na kuifuta kabisa kwa kuipigilia msalabani.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wakolosai 2:13-14